Tathmini ya Nyimbo za Kiswahili Kama Nyenzo ya Ufundishaji Katika Shule za Chekechea
DOI:
https://doi.org/10.47941/ejl.3084Keywords:
Nyimbo za Kiswahili, Nyenzo za Ufundishaji, Shule za ChekecheaAbstract
Lengo la Utafiti:Utafiti huu ulinuia kutathmini nyimbo za Kiswahili zinazotumika katika shule za chekechea kama nyenzo ya ufundishaji katika kata nne za Kaunti ya Makueni ambazo ni Mukaa, Kilungu, Kathonzweni na Makueni. Madhumuni ya utafiti huu ilikuwa ni;Mosi, kuainisha aina za nyimbo za Kiswahili zilizotumika kama nyenzo ya ufundishaji katika shule za chekechea nchini Kenya.Pili, kubainisha namna nyimbo za Kiswahili zilivyotumika kama nyenzo ya ufundishaji.Tatu, kufafanua athari za matumizi ya nyimbo za Kiswahili kama nyenzo ya ufundishaji katika shule za chekechea.
Mbinu za Utafiti:Kaunti ya Makueni ina idadi ya kata tisa kwa ujumla. Kata hizi nne ziliteuliwa kwa sababu utafiti wa awali ulionyesha kwamba kwenye kata hizo kuna shule za chekechea ambazo zina mchanganyiko wa walimu na wanafunzi kutoka maeneo mbalimbali nchini Kenya na waliozungumza lugha asili tofauti.Shule saba za kiserikali na tatu za kibinafsi ambazo zenye wanafunzi wengi zilishughulikiwa katika utafiti huu. Shule mbili hadi tatu zilichaguliwa katika kila kata kulingana na idadi ya wanafunzi na maeneo ya shule hizo.Mbinu ya kusudio ilitumika kuchagua nyimbo za Kiswahili ishirini na tano kwa jumla. Sampuli lengwa ilikuwa ni shule saba za kiserikali na tatu za kibinafsi. Pia, mbinu ya hojaji ilitumika katika ukusanyaji wa data kutoka kwa walimu.Data ya utafiti huu ilichanganuliwa kwa kutumia njia ya kimaelezo na kitakwimu.Utafiti uliongozwa na nadharia ya kiutambuzi iliyoasisiwa na Jean Piaget mwaka wa 1954.
Matokeo ya Utafiti:Utafiti huu umebaini kwamba nyimbo za Kiswahili ni mojawapo ya nyenzo muhimu ya ufundishaji katika shule za chekechea nchini Kenya.
Mchango wa Kipekee kwa Nadharia, Sera na Mazoezi:Kwa Nadharia:Utafiti uliongozwa na nadharia ya kiutambuzi iliyoasisiwa na Jean Piaget mwaka wa 1954.Kwa Sera:Nyimbo za Kiswahili zilitumika katika ufundishaji katika sehemu kubwa kwa kuwa zilieleweka na wanafunzi wote.Kwa Mazoezi:Nyimbo za Kiswahili zinazotumika katika shule za chekechea kama nyenzo ya ufundishaji.
Downloads
References
Abdulrahim, H. T. A. (2014). Taashira na Utendaji katika Nyimbo za Harusi za Waswahili wa Unguja. Tasnifu ya Shahada ya Uzamifu, Chuo Kikuu cha Egerton.
Ahereza, P. (2023). Dhima ya Nyenzo katika Ufundishaji na Ujifunzaji wa Kiswahili katika Shule za Upili katika Munispaali ya Kabale. Tasnifu ya Shahada ya Sanaa, Chuo Kikuu cha Kabale,
Akivaga, S. K. na Odaga, A.b. (1982). Oral Literature. A School CertificateCourse. Nairobi: Heinemann.
Angushi, M. E. (2019). Mchango wa Tamasha za Muziki katika Ufundishaji wa Uanishaji wa Nyimbo katika Shule za Upili Nchini Kenya. Tasnifu ya Uzamili, Chuo Kikuu cha Kibabii.
Brown, J. (1993). Audio Visual Instruction Techniques, Media and Methods. MC Graw – Hill, Inc.
Chiuri, J. (1984). Pop Music as a form of Oral Literature: A Survey of Joseph Kamaru.Tasnifu ya P.G.D.E. Chuo Kikuu cha Nairobi.
Creswell, J. W. (2012). Educational Research: Planning, Conducting and Evaluating Qualitative and Quantitative Research. Boston: Pearson.
Cross, G.P. (1974). The Psychology of Learning. Paris: Pergamon Press.
Dales, E. (1999). Audio visual methods in Teaching. New York: Holt Renehalt, and Winston, inc.
Ellis, R. (1999). The Empirical Evaluation of Language Teaching Material: ELT Journal Vol 5, No.1PP 112-119.
Finnegan, R. (1970). Oral Literature in Africa. Nairobi: Oxford University Press.
Flanders, N. A. (1970). Analyzing Teaching Behaviour. New York: Addison- Wesley Co.
Gage, N. (2009). Educational Psychology; Chicago Rand and Nally Education.
Idrissa, S. M. (2014). Mchango wa Nyimbo za Ngoma ya Mdatu katika Kudumisha Maadili ya Jamii ya Watu wa Mafia. Tasnifu ya Uzamili, Chuo Kikuu cha Dodoma.
Iyaya, R. M., Nabea R.W. na Mayaka J.G. (2021). Mtindo na Lugha ya Uwasilishaji katika Nyimbo za Jando za Jamii ya Watachoni kutoka Kenya, Chuo Kikuu cha Laikipia, Kenya. Toleo Cons. J. Kiswahili, 2 (1), 231-253.
Hadija, U.R. (2013). Mafunzo ya Nyimbo za Jando na Unyago kwa Jamii ya Wahiyao Tarafa ya Lulindi. Tasnifu ya Shahada ya Uzamili, Chuo Kikuu cha Huria, Tanzania.
Haji, Z. R. (2017). Kuchunguza Dhamira na Fani katika Nyimbo Bembelezi za Watoto: mfano katika Makunduchi. Tasnifu ya Uzamili, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.
Hamad, B. A. (2022). Kuchunguza Dhamira na Matumizi ya Lugha katika Nyimbo za Ngoma ya Msewe wa Kmbini Kichokochwe, mkoa wa Kaskazini Pemba. Tasnifu ya Uzamili, Chuo Kikuu Huria.
Hegel, G. W. (1975). Aesthetics. New York: Oxford University Press.
Joachim, M. K. (2019). Matumizi ya Vifaa vya Kisasa katika Ufundishaji na Ujifunzaji wa Sarufi: mfano wa Shule za Upili za Kaunti ndogo ya Moiben, Kenya. Tasnifu ya Shahada ya Uzamili, Chuo Kikuu cha Kibabii.
Juma, M. K. (2019). Upimaji wa Ufahamu wa Kiswahili kama Lugha ya Kufundishia Shule za Msingi: mifano kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita. Tasnifu ya Shahada ya Uzamili, Chuo Kikuu cha Huria cha Tanzania.
Kamau, H. W. (2015). Tathmini ya Matumizi ya Vifaa vya Kufundisha Msamiati wa Kiswahili katika Shule za Msingi za Umma, Kaunti ya Kisumu Mashariki, Kenya.Tasnifu ya Shahada ya Uzamili, Chuo Kikuu cha Kenyatta.
Kariuki, P.M. (2017). Matumizi ya Nyenzo katika Ufunzaji wa Kiswahili katika Shule za Msingi za Umma Jimbo la Nyandarua, Kenya.Shahada ya Uzamili, Chuo Kikuu cha Kenyatta.
Kassim, B., M`raiji, J.and Manasseh, L. (2020). Aina ya Nyenzo katikaUfundishaji wa Fasihi Simulizi ya Kiswahili katika Shule za Sekondari Nchini Kenya. V. 2( 2),143- 152.
Kevogo, A. U. na Kandagor, M. (2022). Kiswahili kama Nyenzo ya Kufundishia Elimu ya Uraia katika Taasisi za Elimu Nchini Kenya. Jarida ya CHAKAMA, 1, 81-90.
Kieti, M. na P. Coughlin. (1970). Barking, you will be eaten! The Wisdom of Kamba Literature. Nairobi: Phoenix.
KimondiO, D. K. (2019). Usawiri wa Mwanamke katika Nyimbo za Sifo Wakamba. Tasnifu ya Shahada ya Uzamili, Chuo Kikuu cha Machakos.
Kirumbi, P. (1975). Misingi ya Fasihi Simulizi. Shungwaya Publishers. Nairobi.
Kombo, D. T. and Tromp.D. L. A. (2006). Proposal Thesis Writing: Introduction. Nairobi: Paulines Publication Africa.
Kothari, C.R. na Garg. G. (2016). Research Methodology: Methods and Techniques. Third Edition. New Delhi: Wiley Eastern Limited.
Kurgat, (2019). Usemezano katika Nyimbo za Amani miongoni mwa Jamii Tatu teule za Kenya. Tasnifu ya Shahada ya Uzamili, Chuo Kikuu cha Kabianga.
Liambila, N. M. (2010). Uchunguzi wa Matumizi ya Kiswahili katika Ufunzaji na Ujifunzaji wa Shule za Chekechea katika Manispaa ya Webuye, Wilaya ya Bungoma, Kenya.Tasnifu ya Shahada ya Uzamili, Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Masinde Muliro.
Lukacs, G. (1963). The Meaning of Contemporary Realism. London: Merlni Press.
Marolyne, J. M. (2019). Uchanganuzi wa Kisemantiki-Leksia wa Maneno Teule ya Kiswahili yaliyotumika katika Nyimbo Teule zilizoimbwa na Nonini na Juacali. Tasnifu ya Shahada ya Uzamili, Chuo Kikuu cha Maseno.
Mbabazi. A. (2023). Matumizi ya Nyimbo katika Ufundishaji wa Lugha ya Kiswahili. Makerere University, Kampala, Uganda.
Mburu, J. M. (2014). Fani katika Nyimbo za Anastacia Mukabwa, Tasnifu ya Uzamili, Chuo Kikuu cha Nairobi. UDSM Journals, https:// Journals. Udsm, ac.tz.
Miruka, O. (1994). Encounter with Oral Literature. Nairobi: East African Educational Publishers.
Mukandabvute, A. A. na Gores, M. (2021). Athari za Kimaadili zitokanazo na Nyimbo za Muziki wa Singeli Nchini Tanzania.
Musembi, N.N. (2016). Mabadiliko ya Maudhui katika Nyimbo za Jando: Mfano kutoka Jamii ya Wakamba.Tasnifu ya Uzamili, Chuo Kikuu cha Mount Kenya.
Mutegi, L. (2010). Maigizo katika Fasihi Simulizi mfano wa Kirarire katika Nyimbo za Tohara za Wameru.Tasnifu ya Uzamili Chuo Kikuu cha Kenyatta.
Mutwiri, G. (2005). Mitazamo ya Utendakazi wa Nyiso katika Jamii ya Watigania.Tasnifu ya Uzamili, Chuo Kikuu cha Kenyatta.
Mwaka, M. W. (2016). Dhima za Nyimbo za Sengo katika Uzini Zanzibar. Tasnifu ya Uzamili, Chuo Kikuu cha Huria, Tanzania.
Mwaniki, M. W. (2011). Matumizi ya Lugha katika Nyimbo Tohozi za Salim Junior. Tasnifu ya Uzamili, Chuo Kikuu cha Kenyatta.
Nandwa, J. na Bukenya.A.(1983). African Oral Literature for Schools. Nairobi: Longmann.
Ntarangwi, M. (1990). Uhakiki wa Maudhui ya Utetezi katika Utunzi wa Remmy Ongola.Tasnifu ya Uzamili Chuo Kikuu cha Kenyatta.
Neema, S. N. (2023). Changamoto katika Ufundishaji na Ujifunzaji wa Somo la Kiswahili katika Shule za Sekondari Tanzania: Uchunguzi Kifani Wilaya ya Temeke. Tasnifu ya Shahada ya Uzamili, Chuo Kikuu Huria, cha Tanzania.
Ngesu, S. N. M. (2021). Tafsiri katika Ufundishaji na Ujifunzaji wa Kiswahili kama Lugha ya Kigeni Nchini Uganda. Tasnifu ya Uzamifu, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Odera, F. Y. (2010). School Radio Programmes; A case study of its use in selected institutions in Nyanza region in Kenya. MPH (Thesis Wales Great Britain).
Ojode, J. O. (2017). Uchanganuzi Kiplagmatiki wa Sitiari katika Nyimbo za Taarab: mfano wa Mzee Yusuf na Mwanahawa Ally, Unguja.
Okello, Z.A., Kirimi J. & Ong'ang'a H.O. (2022). Public Pre-Primary School Teachers' Use of Play as a Classroom Teaching Strategy: A Case of Bunyala, Busia County, Kenya. Journal of Research Innovation and Implication in Education, 6 (1),359-369.
Okeyo, L. A. Kimemia J. N. na Ndethiu, S. M. (2023). Uchunguzi wa Mielekeo ya Walimu na Wanafunzi kuhusu Mbinu na Nyenzo za Kufundishia katika Shule za Upili za Umma, Kaunti za Kisumu na Kakamega, Kenya. East Africa Journal of Swahili Studies 6(1): 435 – 454.
Okpewho, I. (1992). African Oral Literature. Indiana. Uiversity, Bloomington.
Okwalo, P.O. (2012). Matumizi ya Nyenzo katika Ufundishaji wa Fashi Simulizi ya Kiswahili katika Shule za Sekondari Wilayani Mumias na Matugu.Tasnifu ya Uzamili, Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Masinde Muliro.
Riziki, O. N. (2016). Mchango wa Nyimbo za Michezo ya Watoto katika Kukuza Maadili ya Jamii ya Wapemba. Tasnifu ya Uzamili, Chuo Kikuu Huria, Tanzania.
Robinson, A. (1980). Principals and Practices of Teaching. London; George Allenand Unwin.
Sjoerdsma, S. (2016). Importance of Play: Play- Based Insrtruction within a Preschool Learning Enviroment. Dordt College
Suleimani, A. H. (1998). Media Audio – Visual. Pengajara: PT Gramedia.
Tumaini, S. M. (2022). Nafasi ya Nyimbo katika Ufundishaji wa Msamiati wa Kiswahili kwa Watoto wa Elimu ya Awali. Mulika, Na. 41 (2), 242 – 262. Jarida la Taasisi ya Taaluma za Kiswhili. Chuo Kikuu cha Dodoma.
Umi, S. K. (2018). Uchanganuzi wa Maudhui ya Nyimbo za Msondo na Athari zake kwa Wanandoa katika Jamii ya Wadigo. Tasnifu ya Shahada ya Uzamili, Chuo Kikuu cha Pwani.
Vygotsky, L. S. (1978). Mind in Society: The Development of Higher Psychological Processes. Cambridge, MA: Harvard University Press.
Wamitila, K. M. (2002). Uhakiki wa Fasihi. Nairobi: Phoenix Publishers.
Wanyenya, W. (2020). Maudhui katika Nyimbo za Tohara za Wamasaaba Nchini Uganda. Tasnifu ya Uzamivu, Chuo Kikuu cha Makerere.
Wray, A. na Bloomer, A. (2006). Project in Linguistics, A Practical Guide to Researching Language. London: Hodder Education.
Zacharia, U. (2012). Maandalizi ya Ufundishaji. Dar es Salaam: Luwingu Wordpress.
Zaharia, M. A. (2018). Taathira za Ubabedume kwa Mwanamme Mwenza wa Kizanzibari kupitia Nyimbo za Taarab Asilia. Tasnifu ya Shahada ya Uzamili, Chuo Kikuu cha Zanzibar (Suza).
Downloads
Published
How to Cite
Issue
Section
License
Copyright (c) 2025 Pius M Mwanza, Dkt Sarah Ngesu, Dkt F. M. Musyoka

This work is licensed under a Creative Commons Attribution 4.0 International License.
Authors retain copyright and grant the journal right of first publication with the work simultaneously licensed under a Creative Commons Attribution (CC-BY) 4.0 License that allows others to share the work with an acknowledgment of the work's authorship and initial publication in this journal.