Uhalisia wa Maudhui ya Usalama katika Fasihi ya Watoto: Mfano wa Riwaya ya Kijana Mpelelezi,Wamitila K.W (2007) Na Usiku wa Manane,Kobia J. (2010)
DOI:
https://doi.org/10.47941/ejl.1009Abstract
Makala hii inachunguza uhalisia wa maudhui ya usalama katika fasihi ya watoto kwa kuchanganua riwaya ya Kijana Mpelelezi (Wamitila, 2007) na Usiku wa Manane (Kobia, 2010). Hadithi hizi za watoto zimejikita katika fasihi ya watoto. Madhumuni ya utafiti huu ni kubainisha masuala ya usalama yaliyodhihirishwa na waandishi wa riwaya za Usiku wa Manane (Kobia, 2010) na Kijana Mpelelezi (Wamitila, 2007), kueleza jinsi wahusika watoto wanaohusishwa na maudhui ya usalama wanavyosawiriwa na kutathmini uhalisia wa maudhui yanayohusu usalama na yanayonuiwa watoto kama hadhira lengwa katika riwaya za Usiku wa Manane (Kobia, 2010) na Kijana Mpelelezi (Wamitila, 2007). Nadharia za uhalisia wa kijamaa na Soshiolojia ya fasihi zilitoa msingi madhubuti kuhusu mada husika. Makala hii inathibitisha kuwa masuala ya usalama yanayobainika yanafungamana na hali ilivyo katika maisha ya jamii ya karne hii ya ishirini na moja. Vita vya kikabila na ukosefu wa usalama katika jamii vinapaswa kuondolewa na kusahaulika kabisa. Hadithi za watoto za waandishi hawa zinadhihirisha uhalisia wa maudhui ya usalama. Ni dhahiri kuwa kuna haja ya kuchukua hatua za dharura kuwafahamisha watoto kuhusu umuhimu wa amani katika taifa ili wakikua wawe na uwezo wa kueneza maridhiano baina ya jamii lugha zote.
Downloads
References
Bakize L.H. (2014). Changamoto Zinazoikabili Fasihi ya Watoto Nchini Tanzania: Dar-es Salaam
Bhroin C. & Patricia Kennon (2012). What Do We Tell the Children? Critical Essay Children's Literature. Cambridge Scholars' publishers
Buliba, A. Mayaka, G. na Riro M. (2014). Misingi ya Nadharia na Mbinu za Utafiti. Mwanza: Serengeti Education Publishers (T) Ltd.
Coser, L. (1963) Sociology Through Literature : Prentice-Hall
Farsy M (1960), Kurwa na Doto. Dar-es Salaam: East African Literature Bureau.
Gay, L. R., Mills, G. E., & Airasian, P. (2006). Educational Research: Competencies for Analysis and Applications. Columbus: Merrill Greenwood
Howe, M (1970) Using Students' Notes to Examine the Role of the Individual Learner in Acquiring Meaningful Subject Matter: Linguistics, Psychology Journal of Educational Research
Hunt, P. (Ed) (2002). Understanding Children's Literature. Taylor & Francis e Library.
Kairu, W.M. (2005) Uhalisi na Mtindo wa Ken Walibora katika Fasihi ya watoto. Tasnifu ya Uzamili ya Chuo Kikuu cha Kenyatta.(Haijachapishwa)
Khaisie, J. (2018) Matumizi ya mikakati ya Propaganda katika Mdahalo wa Urais wa Kenya wa Mwaka wa 2013. Tasnifu ya Uzamifu Chuo Kikuu cha Laikipia (Haijachapishwa).
Kobia, J. (2008). Siku ya Ukimwi. Nairobi: Longhorn Publishers.
Kobia, J (2010), Usiku wa Manane. Nairobi: Kenya Literature Bureau.
Kothari, C.R. & Gaurav G. (2014). Research Methodology: Methods and Techniques 3rd Edition. New Delhi: New Age International Publishers.
Lynch-Brown, (1999) Essentials of Children's Literature, US: Pearson Education.
Manji, A (1996) Bonde La Wafu. Nairobi: Phoenix.
Mailu, G. (1997) Atendaye Mema. Nairobi: Jomo Kenyatta Foundation Publisher.
Matundura (2005). Mwepesi wa Kusahau. Nairobi: Phoenix.
Matundura (2007), Taswira Dumifu za Uana katika Fasihi ya Kiswahili ya Watoto. Tasnifu ya Uzamili, Chuo Kikuu cha Nairobi.
Matundura (2014), Likizo ya Mkosi. Nairobi: Kenya Literature Bureau.
Michuki, D (1969) Kaka Sungura na Wenzake, Nelson Publisher .Nairobi.
Miricho, E.M. (2015), Usawiri wa Watoto katika Hadithi za "Mwepesi wa Kusahau" na "Likizo ya Mkosi". Tasnifu ya Uzamili, Chuo Kikuu cha Nairobi.
Mkufya, W. (1998) Androko na Simba.Tanzania: Mwanzo Educational Publisher.
Mpesha, N. (1991), Nyani Mdogo. Nairobi: Phoenix Publishers
Muhammad, S (1974) Siri Ya Sifuri, Nairobi: East African Publishing House.
Muhammad, S. (1968) Kisima Cha Ginigi, Nairobi: Evans Brothers.
Muhammad, S. (1977) Mzimu Wa Watu Wa Kale, Dar es Salaam: East African Literature Bureau.
Ngugi, P. (2009), The State of Children Literature in Kenya. Tasnifu ya Uzamifu, Chuo Kikuu cha Vienna. Austria.
Ngugi P.M (2016). Usawiri wa Masuala Ibuka katika Fasihi ya Watoto: Mifano kutoka Kenya katika: Mulika, No. 35. Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kur. 76 - 86.
Njogu, K. na Chimerah, R (1999), Ufundishaji wa Fasihi, Nadharia na Mbinu, Nairobi: Jomo Kenyatta Foundation.
Omolo, L (1971) Tajiri Mjanja. Nairobi: East African Publishing House.
Shaaban, R (1952) Adili na Nduguze, London: New York; Macmillan Education.
Swingerwood A. 1975 The novel and Revolution. London: The Macmillan Press Ltd.
Wafula Na Njogu (2007). Nadharia za Uhakiki wa Fasihi. Nairobi: Jomo Kenyatta Foundation.
Walliman, N (2001). Your Research Project. London: Sage Publishers.
Warren na Wellek (1973). Theory of Literature. London: Penguin Books
Wamitila K.W (2003). Kichocheo cha Fasihi: Simulizi na Andishi. Nairobi: Focus Books.
Wamitila, K.W. (2007). Kijana Mpelelezi, Nairobi: Vide - Muwa Publishers.
Downloads
Published
How to Cite
Issue
Section
License
Copyright (c) 2022 ROSE NDANU MBOYA, Dr Esther Chomba, Dr Francis Musyoka
This work is licensed under a Creative Commons Attribution 4.0 International License.
Authors retain copyright and grant the journal right of first publication with the work simultaneously licensed under a Creative Commons Attribution (CC-BY) 4.0 License that allows others to share the work with an acknowledgment of the work's authorship and initial publication in this journal.